Bei

Bei rahisi na wazi kwa mashabiki, wasanii na lebo.

Bei za nyimbo

Bure

TSh 0

Standard

TSh 555

Plus

TSh 666

Gold

TSh 999

Platinum

TSh 1,333

Kila msanii huchagua kiwango cha bei kwa kila wimbo. Unalipa mara moja na wimbo unabaki wako.

Tembelea duka →

Malipo salama

Mitandao yote ya simu Tanzania (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa), pamoja na Visa, Mastercard na kadi nyingine kubwa.

M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa
Visa and Mastercard

Kwa wasanii

  • Unabaki na 77% ya kila mauzo. Damaresi inachukua 23%.
  • Omba malipo wakati wowote salio lako likifikia TZS 77,000.
  • Kujiunga na kupakia muziki ni bure.

Tiki ya GreenLove

Bure ukiwa na wasifu uliokamilika 100% (pamoja na picha na bio), angalau nyimbo 3 zilizo hewani na link yako ya Damaresi kwenye mitandao yako ya kijamii.

Au ipate papo hapo: TSh 33,000 kwa kila miezi 3.

Miezi 3

TSh 33,000

Miezi 6

TSh 66,000

Miezi 9

TSh 99,000

Lebo za muziki

Simamia wasanii wako wote, mgawanyo wa mapato na malipo kutoka dashibodi moja.

Sajili lebo yako

Pakua app ya Damaresi

Nunua, pakua na sikiliza nyimbo unazopenda kwenye Android.

Get it on Google Play

Tunapopatikana

Tunapatikana sasa Tanzania 🇹🇿. Tunakuja hivi karibuni Kenya, Uganda, Rwanda, DRC na nchi nyingine za EAC.