dizo

dizo

Kazi ime anza, kume kucha huko kwa kina Bidder. Muziki na maisha, kaa karibu na nguli huyu ujisikilizie ngoma kali kali zote bure kutoka kwake.. Ila kama unataka ngoma za wasanii wengine inabidi kupakua ngoma hizo na kutoa mchango kidogo kwa wasanii wetu mastaa wa streets wasikose hela ya kurudi studio, kulipa kodi ya pango na pia kula kula kidogo wang'ae