Urafiki wa Utata

Urafiki wa Utata ni wimbo bora kabisa kutoka kwake King Bidder unao lenga mahusiano yawe ya papo kwa hapo au long distance, haaswa kwenye urafiki wa kuumizana, urafiki wa kutumiana, urafiki feki. Bida ame ingia ndani zaidi na kutuchambulia aina ya marafiki wa kuwa angalia kwa jicho la tatu.

File Upload

Comment ×

Your email address will not be published. Required fields are marked *